Aisee kaka Toyota land cruiser vx ya 2014 kwanza ni hatar sana ila sasa kuna lexus gx 570 hyo ni mwisho inatumia technology ya kisasa mnoo! Bado mm nawapigia saluti Toyota
Hiv unajua aliedizain hyo Nissan 6th generation ndo yule yule wa Toyota!?
Nissan patrol
Nissan Patrol ni series kubwa ya magari yatmiayo mifumo ua four-wheel drive .yanayo tengenezwa na campuni ya Nissan Japan toka 1951.
The huwa yanajulikana kama magari magumu ama komavu hasa kwenye upande wa 4×4 katika nchi kama vile Australia, New Zealand, Middle East, Latin...
Sawa kabisa kijanaa upo sawa maintanance ya RR na ya Nissana ni ghali compare to Vx! Ila nissana sio kabisa wameshindwa kutupa kile tunachotaka kwenye speed huweiz compare vx na Nissan wala range na Nisaan! Utakubaliana na mm kwamba nissana haiko comfortable sana ktk driving tofauti na RR na Vx
Toyota vx
Toyota Land Cruiser ambapo imetokana na neno la kijapani Toyota Rando-kurūzā?) ni aina ya magari yanayo tumia mfumo wa 4WD atika utendaji kazi wake yakiwa na nguvu na kasi kubwa katika swala zima la utendaji kazi wake. Uzalishwaji wa kizazi cha kwanza cha Toyota land...
Haina tatizo baada ya kumalizia series ya toyota land cruiser Vx ntaeleze Honda pia kwa hyo usiwaze tupo pamoja! ila samahan kwa kuwacheleweshea ombi lenu.
Range rover
Ni gari ya kiingereza ikiwa imetengenezwa mwanzo mwa miaka ya 1965 -1970 ikiwa na mfumo wa SUV ( sport utility Vehicle) na kiwanda cha LAND ROVER Wametengeneza aina nyingi sana tuanze na hii kwanza!
FIRST GENERATION
RANGE ROVER CLASSIC
hii ndo range rover ya kwanza kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.