Recent content by sophy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tuishitaki TPB Bank kwenye tume ya ajira

    -Mimi ningewashauri ndugu zangu tuwe na taarifa kamili ya jambo tunalochangia humu jamvini na sio kuongea kwa chuki na jazba tu. Je watu wote walioomba kazi benki ya Posta walizipata kwa sababu ya kujuana na watu??? Mimi siamini hilo na hata wengi wametoa ushuhuda wao humu jamvini. Mimi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tuishitaki TPB Bank kwenye tume ya ajira

    Habari zenu wanajamvi
Back
Top Bottom