Yn ni vyema Tanesco wakawa wa kweli kwa watz, kwani ni kipindi sasa kwa sisi wakazi wa Morogoro eneo la bigwa sokoni, umeme unakatika kila siku kuanzia asubuhi Na kurudishwa jioni Na hata muda mwingine SAA 4 usiku ndo unarudi. Mfano km Leo mpaka muda huu umeme haujarudi Na ukiwapigia wanadai...
Unachotakiwa km hukuridhika Na hiyo hukumu ni kukata rufaa kupinga hayo maamuzi ukitoa sababu zako ktk mahakama au Baraza la ardhi ktk ngazi inayofuata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.