Recent content by Songwe Rashid

  1. Songwe Rashid

    JamiiForums Tanzania Since Kanumba's die who is the greatest actor in Tanzania?

    Kama heading inavyojieleza tangu kanumba afariki ni muigizaji yupi ni bora kuliko wengine TZ? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Songwe Rashid

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Waziri wa Kilimo tulipeni fedha zetu tupalilie mashamba

    Waziri wa Kilimo tunaomba tulipeni hela za korosho tuwai kulimia(palizi), kufyekea vinginevyo kutatupunguzia kilo mwakani Suala la uhakiki wa mashamba mfanye baadae nawashauri. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Songwe Rashid

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu kutorusha Habari Azam, Kupotea Local channels

    Taarifa yao Azam two niliifurahia Saana but I believe soon Watarud.
Back
Top Bottom