Unajifanya hujui kilichotokea kwenye ule uchafuzi?
Ule haukuwa uchaguzi bali ulikuwa uchafuzi.
Tatizo lako unapenda mno kujipendekeza mbele ya CCM Kama demu,wewe ni shoga wa ccm.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Siasa siyo vita, siasa ni sayansi,
Nijuavyo mimi Makonda hajui na hawezi siasa za majukwaani anachojua yeye ni matusi na vitisho.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Umedanganya nijuavyo mimi US ndo anapigania haki za binadamu, Mara nyingi dini ya kiislamu imekuwa ikienezwa kwa njia ya upanga.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kwa akili yako hiyo Hamas walikuwa sahihi kuingia Izrael na kuuwa watu holela!
Wewe unasumbuliwa na udini na uarabu.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.