Kuna kipande mh anasema kwakuwa tumefuta hizi tozo, serikali inatiwa kupunguza matumizi, Yan kumbe ilileta tozo ili kujirahisishia wao matumizi ya ajabu serikalini?
Watanzania kazi yao ni kupinga kila kitu hata kama anaujua ukweli atapinga tu, Kinana kasema wapunguzwe hasa walio karibu karibu, sasa kama trafic wa kituo A amekukagua na hakuna muingio wa barabara huyu wa kituo B anakukagua nini tena? Angesema waongezwe mngekosoa yan nikupinga kila kitu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.