Recent content by Son of the universe

  1. Son of the universe

    JamiiForums Tanzania SoC04 Lifanyike hili ili kuboresha ujenzi wa miundombinu nchini

    Ndugu zangu naamini nanyi mnakerwa sana na jinsi fedha za walipa kodi zinavyotumika vibaya kupitia ujenzi wa miundombinu ya barabara, madaraja, majengo ya shule, soko, hospitali na mengineyo chini ya kiwango. Jambo hili limekuwa sio tu likipoteza fedha nyingi za walipa kodi lakini pia...
  2. Son of the universe

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ujenzi wa barabara mpya uzingatie na upandaji wa miti na maua ili kupendezesha mandhari ya barabara hizo

    Kwanza nitumie fursa hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya ujenzi, TANROADS na TARURA kwa miradi yote ya ujenzi wa barabara iliyokwisha kamilika, inayoendelea kukamilishwa na itakayokamilishwa nchini kote. Napenda kuzungumzia barabara kuu zinazopatikana ndani ya majiji katika nchi yetu ya...
  3. Son of the universe

    JamiiForums Tanzania SoC04 Itungwe sheria ya kila nyumba ya ibada kuwa na kituo cha kulea watu wenye mahitaji maalum kama yatima, wazee na walemavu

    Nyumba za ibada kwa maana ya makanisa na misikiti ni sehemu ambazo waumini wa dini kuu mbili yaani wakristo na waislamu hukutana katika siku zao maalumu kwa ajili ya kufanya ibada na mikusanyiko mingine. Kwa kipindi kirefu nyumba hizi zimekuwa na mchango mkubwa katika jamii kwa kushiriki moja...
Back
Top Bottom