Recent content by Son Of Simon

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Polepole kumtumia Rais Museveni kama mfano ni mfu

    Kama kweli lengo la Museveni lingekuwa mfano wa kuigwa, basi yeye mwenyewe angeonekana mnafiki, kwa sababu alimfanya mwanaye Muhoozi kuwa Mkuu wa Majeshi na wengine akawapa vyeo vikubwa serikalini. Kabla ya kumsema mwingine, Rais Museveni alipaswa kuanza kwa kutoa kibanzi kilichoko kwenye jicho...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yazidi kuvutia wawekezaji: Thamani ya Uwekezaji yapaa

    Tanzania imeendelea kuthibitisha kuwa ni kitovu kipya cha uwekezaji barani Afrika, kutokana na mazingira bora ya biashara na sera madhubuti zinazotekelezwa na Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. 🔹 Thamani ya Uwekezaji: Rekodi ya Kihistoria Kati ya mwaka 2018 – 2021...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ukusanyaji wa mapato ndani ya kipindi kifupi cha miaka minne

    👉 Kuongezeka kwa mapato ya kodi ya Serikali kutoka Tsh trilioni 11.2 (Agosti 2020 – Machi 2021) hadi Tsh trilioni 21.2 (Agosti 2024 – Machi 2025) ni ongezeko kubwa la karibu trilioni 10. Hili linaonyesha wazi mafanikio makubwa katika ukusanyaji wa mapato na utekelezaji wa sera bora za kifedha...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Polepole na tuhuma za uongo dhidi ya mradi wa JNHPP

    Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo: 1.Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua tatizo la umeme kwa Watanzania. Pia ni mradi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Polepole anahitaji msaada wa matibabu kuliko kumshangaa

    POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli Kwanini Polepole hakumshauri...
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uzinduzi wa Kampeni za CCM Viwanja vya Kawe, Agosti 28, 2025

    ''Tutaanza rasmi kutekeleza sheria ya Bima ya Afya kwa Wote. Kwa kuanzia, ndani ya siku 100 tutazindua rasmi Mfumo wa Taifa wa Bima ya Afya kwa Wote kwa awamu ya majaribio, tukianzia kwa wazee, watoto, mama wajawazito na watu wenye ulemavu. Gharama za matibabu kwa makundi haya zitabebwa na Mfuko...
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uzinduzi wa Kampeni za CCM Viwanja vya Kawe, Agosti 28, 2025

    🔥 KAWE KUMEWAKA! 🔥 Leo viwanja vya Kawe vimepamba moto kwa ujio wa kampeni za Mama Samia. Umati wa watu umefurika kwa shangwe na hamasa kubwa, kijani na njano zimelipamba jiji kwa upekee. 🌟🇹🇿 Ni wazi kabisa muitikio ni mkubwa mno, wananchi wameonyesha mapenzi, mshikamano na imani thabiti kwa...
Back
Top Bottom