Recent content by Son Of Jesse

  1. Son Of Jesse

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wakuu kijana niliyerudi nyumbani na mke

    Daima ishi kile unachikiamini, usiyumbishwe na watu wanasemaje na wanakuonaje maana ukiangalia watu hutafanikiwa kwa lolote. Kama unayo Amani ya kuwepo hapo home we kwa, japo kwa kawaida siyo Sawa, we endelea kuwepo kwa sababu ni wewe pekee ndo unayajua maisha yako yanatakiwa kuwaje. Pia ishi...
  2. Son Of Jesse

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na haya mawasiliano ya wife na karani mwenzie wa sensa

    Kumepambazuka. Kaza roho ndugu mganga Mungu pekee
  3. Son Of Jesse

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kumrudisha mpenzi, mume/mke mliyeachana inawezekana kweli?

    Watu mpo serious na mapenzi nchi itajengwa na akina Nani[emoji28][emoji28][emoji28]
  4. Son Of Jesse

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

    [emoji28][emoji28][emoji28]
  5. Son Of Jesse

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

    Duh we ni mwanaume wa Aina yake aisee. Mwanamke akionyesha mapicha picha achana naye.
  6. Son Of Jesse

    JamiiForums Tanzania Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Unataka ushauri gani hapo? Mkiuawa hooo wanaume makatili and now unachezea sharubu za Simba. Wait and see
  7. Son Of Jesse

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanamke akipiga tu simu kuna jambo analitaka

    Pole Sana ila ukue kiakili... Usijipe umuhimu kwa mtu asiyetambua thamani ya upendo wako.
  8. Son Of Jesse

    JamiiForums Tanzania Roho inaniuma sana

    New version [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. Son Of Jesse

    JamiiForums Tanzania Roho inaniuma sana

    Wanawake hawana huruma when it comes kwenye hela ya mwanaume. Hakikisha hauchezewi akili tena, aneyehudiwa ni mke ndani na siyo mpita njia
  10. Son Of Jesse

    JamiiForums Tanzania Roho inaniuma sana

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba achezee tope
  11. Son Of Jesse

    JamiiForums Tanzania Uongo gani mnatumia kuwarubuni wanawake?

    We umeua kabisa [emoji28][emoji28][emoji28]
Back
Top Bottom