kwa wale tuliofanya oral interview akiba commercial bank vip wameshaanza kuita watu kazini kwa sababu mimi nilifanya wiki ya tatu sasa chenga kama kuna mwenye taarifa tujuzane
Hii ni aina nyingine ya matusi wazungu wana2kana na Ikulu inaridhia kupokea hiyo TUZO bila kuhoji uhalali wake wanatudanganya ku2ambia tanzania inafanya vizur kiuchumi, uchumi wa asilimia 7% ni wakwenye makaratasi kwa nini hyo Tuzo wasimpe rais wa nigeria aliyeiwezesha nchi yake kuikarbia south...
January makamba? Kweli wazunguza wanacheza na akilizi zetu huyu dogo kafanya jambo gan kwa watanzania wenzake mpaka awe "infuential" huo unaibu wazir kapewa na kikwete kwa kufahamiana na kikwete hana chochote hata hoja hawez kujenga kama naibu wazir leo 2naambiwa ni influential, KWA RESEARCH HII...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.