Habari zenu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, niko chuo kikuu kimojawapo hapa Tanzania, natafuta msichana ambaye yuko serious tukajuana kiundani ikiwezekana hadi kucheck afya then tukawa wapenzi.
Msichana awe na sifa zifuatazo, awe mkristo(Lutheran), awe na umri kuanzia 18-25, awe...