Recent content by Solo J Mwigulu

  1. Solo J Mwigulu

    JamiiForums Tanzania Prisoner’s dilemma” na siasa za madola makubwa

    Katika nadharia ya mchezo (game theory), mojawapo ya mifano maarufu zaidi ni “mtanziko wa wafungwa” (Prisoner’s Dilemma). Mfano huu unaonyesha jambo la msingi: mataifa au watu wawili wanaweza kushirikiana ili wote wanufaike, lakini hofu ya kusalitiwa huwafanya wachague kujilinda wenyewe, hata...
  2. Solo J Mwigulu

    JamiiForums Tanzania Kwa maana halisi, comment si maneno yanayowekwa chini ya post. Kisaikolojia Comment ni kipimo cha ustaarabu wa akili ya anaye comment

    Immanuel Kant aliwahi kueleza kwamba binadamu hauoni ulimwengu moja kwa moja kama ulivyo bali kama unavyoonekana
Back
Top Bottom