Recent content by Sollo24

  1. S

    JamiiForums Tanzania Uganda: Rais Magufuli na Kenyatta waagiza mawaziri kumaliza tofauti za kibiashara

    hahaaa umemshutukia eeeh! ni mnafiki anajipendekeza, wanasaikojia ndo huwa wanjua hizo sign mkuu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Uganda: Rais Magufuli na Kenyatta waagiza mawaziri kumaliza tofauti za kibiashara

    hahaha umemshtukia eeeh! ni mnafiki anajipendekeza wanasaikologia ndo wanajua zaidi hizo sign mkuu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu Chadema tafadhalini njooni na msimamo unaoeleweka

    Tumeshachoshwa na haya mahuaji ya ndugu zetu, kaka zetu na hata marafiki zetu wa chadema kinacho endelea hapa tanzania ni kitu ambacho hatukukizoea bali tulisikia kwa majirani zetu kila kukicha viongozi wa chadema wanauliwa kama kuku mmoja baada ya mwingine usiku wa leo wametupotezea kamanda...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais wetu kama umeamua kutumia Kiswahili basi tumia Kiswahili na sio Kiswanglish

    bora aongee tu kisukuma no english no swahili there.....
  5. S

    JamiiForums Tanzania NEC: Watu kuhama chama na kuruhusiwa kugombea nafasi ile ile ktk chama kingine imepunguza wapiga kura Siha, Kinondoni

    haya ni majibu mepesi sana hata katoto kangu hapa, ka chekechea kanaweza kujibu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asema ana taarifa kuna kiasi cha dola bilioni moja zimekamatwa uwanja wa ndege Dsm!

    hizo zitakuwa zile za dokta shika jamaniiii wamwachie ela zake
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mpango uliopo wa 'Siri’ CCM na CHADEMA kuungana kabla 2020

    hakuna tena mpango hapo tiyari tusha unasa tafuta mwingine
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amemtuma Mwanasheria Mkuu kufuatilia Bombadier Canada

    na yeye aachiye makilikia ya watu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akizitoa hizo 50M kwa kila kijiji ifikapo 2019/2020, wale wanaomkebehi watasemaje?

    labda aruhusu makilikia ndo atizipata hizo ela :D:D:D
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aghairi kutekeleza ahadi ya Milioni 50 kila Kijiji, adai Vijiji vina rasilimali za kuzalisha Mil 50

    kwani tulimomba si alijipendekeza mwenyewee!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    makuzi tu hawa hawana jipya wamezidiwa kete
  12. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Bilioni 10 za Rais Magufuli kwa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) zakamilisha kazi

    hizo ni ghorofa au nguzo zimeezekwa?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    we jamaa nakukubali sana naomba ukija arusha tuonane hata mimi nafanya trading ila kwenye crypocurrency na trade biticoin na ethereum let's meet bro
  14. S

    JamiiForums Tanzania Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa

    Hongera Xana Mh. Edward Ngoyai Lowassa"hakuna Atakaye Weza Kuzuia Bahati Ya Mtu Kama Umepangiwa Kuwa Rais Utakuwa Tu''
Back
Top Bottom