Sijaona mantiki ya GT kuorodhesha wasifu wa hao aliowataja eti tu kwa sababu wanafanya kazi katika gazeti la Jambo Leo.Ninavyoona mimi ni kwamba GT anachuki binafsi na hao wote aliowandika kwamba walifukuzwa kazi hapa na pale. GT hebu andika mambo ya maana ya kuelimisha jamii ndani ya think tank...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.