Habari za wakati huu?
Ninatumai wewe unaesoma ujumbe huu ni mzm wa afya ila kama una changamoto ya kiafya pole sana Mwenyezi Mungu akupe wepesi, mie ni mgeni humu na ni Mwanasheria ninaejipambania katika chuo kikuu cha SAUT - Mwanza. Ninaomba ushirikiano toka kwenu ninyi. Ahsante sana![emoji120]
Katika safari ya mabadiliko, Tanzania imefanikiwa kujenga mfumo wa uongozi bora unaolenga kuleta mabadiliko chanya katika nchi. Zamani, changamoto za uongozi bora zilikuwa kikwazo kikubwa katika maendeleo ya Tanzania. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, jitihada zilizofanywa na serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.