Recent content by Softwere injinia

  1. Softwere injinia

    JamiiForums hey guys nina cm apa ni itel 1408 ilikua na tatizo la kamera yaani nikifungua kamera inasema camera error nimeflash haisom laini msaada wazee

    AF MI NASHANGAA KITU KI MOJA ETY HIZI CM MTU ANANUNUA TECNO HOT SIX LAKIN MIMI NANUNUA GALAXY GT YA MIAKA TUKIJA KUPIGA PICHA INAKUA INAFIFIA
  2. Softwere injinia

    JamiiForums hey guys nina cm apa ni itel 1408 ilikua na tatizo la kamera yaani nikifungua kamera inasema camera error nimeflash haisom laini msaada wazee

    😩😩wazee hiyo ni itel 1408 nimeiflash lakin saiv haisomi laini msaada kwa mwenye kujua labda akanipa link ya firmwere
  3. Softwere injinia

    JamiiForums Kwa wanaotumia internet ya voda

    hahahahaaha hiyo ndo inaitwa 4g alaf usilaum bana bro ujue nini fanya kitu ki1 ingia kwenye seting alaf system update kisha weka off ukitoka apo ingia playstore zima autoupdate zote kisha ingia seting angalia data usage ili ujue ni app ipi inakulia data sana kisha fanya maamuzi
  4. Softwere injinia

    JamiiForums Kwa wanaotumia internet ya voda

    SIYO MKOANI TUU ATA APA NILIPO POPOTE PALE WANASHIKA 4g heheheeheh
  5. Softwere injinia

    JamiiForums Kwa wanaotumia internet ya voda

    lakin si unaelewa jinsi ya kuweka APN
  6. Softwere injinia

    JamiiForums Kwa wanaotumia internet ya voda

    nilikua sijakuelewa ila kiukweli voda wapo juu jarib kuweka apns sawa alaf angalia kama itakataa tena
  7. Softwere injinia

    JamiiForums Kwa wanaotumia internet ya voda

    mkuu jaribu hii *149*03# halaf namba 4
Back
Top Bottom