Kama kichwa cha post kinavyosema, nataka ujue ni jinsi gani ya kuweza kuflash simu yako ya Android kwa kutumia Proglam mbalimbali kulingana na tatizo binafsi.
Hapa kwanza nitaelezea simu mbalimbali kulingana na aina ya chipset zake
= => Tecno
= => Infinix
= => Gionee
= => Innjoo
= => Itel...
PART TWO
Ili kuweza kuffanya operation ya kuflash sim ni lazima uweze kutambua ni chipset ya aina gani. Kuhusu maana ya chipset pamoja na mada nzima na maelezo ya chipset nitakuja kuandaa uzi wake maalum kwa leo naomba tutambue baazi ya chipset za sim mbalimbali
1. Qualcom
2. Exynos
3. Mediatek...
Chipukizi bro so ukiwa na cheti ndio unaanza flash sim au unaandaa vifaa then ndio unafanya usajili nilichosema huwezi fanya kazi bila ya kua na vifaa tajwa hapo juu bro uewelewa mdogo tuu
Habari za muda huu ndugu zangu!
Baada ya kuona uhitaji wa watu kutaka kufaham kuhusu mobile software bhas kupitia uzi huu ntaenda kuwafahamisha kuhusu mobile software.
Kwanza kabisa ni lazima uwe na vitu vifuatavyo ili uweze kufanya hii kazi.
1.Desktop au Laptop
2.Internet
3.Flashing tools...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.