Recent content by Soft Guy

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kataa ndoa uishi maisha yako ya furaha na amani

    NITAZIDI KUPAZA SAUTI KATAA NDOA LINDA KIBUNDA LINDA AFYA YA MWILI NA AKILI. IMBA KATAA NDOA X30
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yangu ya ndoa ni tofauti na nilivyoyatarajia

    IMBA KATAA NDOA MARA MILIONI PESHA ITASHUKA
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano kuanzia miaka 25+ kijana wa kiume hakikisha una hivi vitu muhimu

    KATAA NDOA X30
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikio la Kufa halisikii dawa - Wakataa ndoa wote

    Sijasoma Hadii mwisho ila nagongea nyundo kwenye msumari KATAAA NDOA LINDA KIBUNDA LINDA AFYA YA AKILI NA MWILI RUDIA KUSOMA NILICHOANDIKA X30
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi?

    KATAA NDOA KATAA NDOA KATAA NDOA X30
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapenda Kuzaa watoto wengi. Mwanaume ni uamzi wako tu.

    Wanawake ndyo nani
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nimeombwa pesa ndotoni nimeamka nakuta zimepungua, ina tafsiri gani kiroho?

    Ni juzi kati nilikuwepo Gesti Fulani na Dar na kabla ya kulala nilihesabu hela nilikuwa na 50000/=. Nilipopatwa na usingizi mzito niliota mtu Fulani anakuja ananiambia nimpe hela zangu na nikampa yeye akanipa kitu kingine sikikumbuki. Sasa nilivyoamka asubuhi natafuta Ile 50000/= sikuiona Tena...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida 10 za kuoa mwanamke mwenye mtoto (single mother)

    Umemaliza IGWEEEEEEE
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huko kwenu mkiulizwa hivi mnajibu nini?

    Mwambie akupe watoto.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tatizo langu la kukosa choo kuendelea nimepata suluhisho hili

    Nimekuwa nikiteseka na Tatizo la kukosa choo wiki mbili Hadi tatu mfululizo na ndiyo maana mchana Huwa napiga pasi ndefu na watu wengi Huwa wananishangaa kwanini sili mchana naishia kuwadanganya nimeshiba lakini najua naumwa. Lakini Dua zangu zimejibiwa na sasa nimepata suluhisho na suluhisho...
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukichelewa kuoa au kuolewa ni ngumu kumpata mwenza mnayeendana

    Kuoa sio lazima unaweza ukaishi mwenyewe Kwa raha BIla stress na mtu yeyote.Unatumia kibunda chako mwenyewe unajitibu mwenyewe,Uhuru wako mwenyewe,kusali mwenyewe.Usiangalie mitazamo ya jamii inayolazimisha lazima uoe.
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

    Bikra ni muhimu Sana inaonesha jinsi gani mwanamke anatunza utu na dhamani yake.Tulitakiwa kuwaasa na kuwasisitiza watoto wetu wa kike wajitunze na sio kuwaambia Ndoa haijengwi na Bikra.
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

    Hilo andiko silioni
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini? Ndoa ina miezi 10, mke wangu kabadili dini kaolewa na mwanaume mwingine

    Shukuru Sana maana ungelea mtoto ambaye sio wako.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kukata tamaa na tatizo langu la kukosa choo

    Naongea mbele zenu Kwa masikitiko makubwa wanajamii Forums maana nashindwa kuelewa hii hali inapoelekea.Siku ya saba Leo nakula lakini sipati choo. Kiuno nacho kinauma hata kusimama muda mrefu imekuwa kazi na tumbo likekuwa kubwa kama Nina kitambi vile. Sina hamu ya kula maana nahisi muda wote...
Back
Top Bottom