Recent content by Socrate2024

  1. S

    Askofu & Mch J. M. Gwajia toa kauli yako t. Yaliyotokea leo J'pili polisi kutuvamia tukiwa ibadani, kutupiga na kuwakamata baadhi ya wenzetu sio sawa!

    Ile picha ni ya zamani mwaka 2020 akiwa anachukua form ya kuhombea ubunge wa kawe mwaka 2020.
  2. S

    Kuteuliwa kwa Jaji Mkuu Mstaafu Prof. Ibrahim H. Juma kunaacha maswali mengi kwenye mhimili wa Mahakama!

    Watu wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kitendo cha Rais Samia kumteua Prof. Ibrahim Juma aliyekuwa Jaji Mkuu wa Mhimili wa Mahakama aliyestaafu juzi tu kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha UDOM. Je, kwa kitendo hicho kuwapi dhana ya separation of power ya mihimili ya dola? Je hii haidhihirishe...
  3. S

    Mbowe, fumbo mfumbie mjinga, mwelevu ataling'amua

    Tapeli tu wa siasa huyu. Mpaka namkumbuka Bw. Byakanwa kwa mambo aliyomfanyia huyu mwamba alivyokuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai. Kumbe huyu jamaa alikuwa sahihi.
  4. S

    Malasusa Umemkosea Mungu, tubu!

    Nafikili sio mnyakyusa 100%, baba yake ni Mndali wa Ileje
  5. S

    PreGE2025 Alex Msama: Rais amefanya kila Mtanzania aishi kwa furaha mustarehe

    Tapeli huyu. Kamuulize Rose Mhando mwimbaji wa nyimbo za Injili, alimfanya mabaya sana ikifika hatua anamshikia Silas’s ili kumdhuru. Tapeli wa viwanja na mali za watu. Hivi kumbe yupo huyu tapeli!
  6. S

    Tetesi: Mwenyekiti Bawacha kubwaga manyanga kwa press wiki ijayo

    Lakini huyu mbona alikili kabisa wakati wa uchaguzi kwamba yeye hatakuwa tayali kufanya kazi na mwenyekiti yeyote mbali ya Freeman Mbowe. Kwahiyo, mwacheni aende zake.
  7. S

    PreGE2025 UVCCM Tanga: CHADEMA amueni kushiriki Uchaguzi au la, si kuchochea vurugu

    Huyu nae bure kabisa, hajui kwamba zama zimebadilika’
  8. S

    PreGE2025 Baada ya CHADEMA kusema No refoms No Election, mimi na wana CHADEMA wenzangu hatujajiandikisha kupiga kura, naona CCM wanajiandikisha kwa wingi

    Baada ya kufanyika reform siku za kujiandikisha zitaongezwa tu, Kwahiyo usihofu ndugu yangu.
  9. S

    PreGE2025 MNEC Ussi: Lissu asitugawe sote ni Watanzania

    MNEC Ussi bhana!!!!🤣🤣🤣🤣
  10. S

    No reforms No election kuigawa na kuisambaratisha CHADEMA kuelekea Uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025

    Naona haujawaelewa CHADEMA wewe! CHADEMA hawasemi watasusia uchaguzi, bali wanasema WATAZUIA uchaguzi kufanyika. Sasa cha msingi ku-dwell mimi na wewe ni kuvuta subira kujua jinsi watavyozui uchaguzi kufanyika.
  11. S

    PreGE2025 Mwenyekiti BAWACHA Sharifa: CHADEMA ni chama chenye viongozi makini wanaojitambua wenye uwezo mkubwa wa kiakili

    Mwenyekiti BAWACHA kabadili gear angani. Mbona alikataa kufanya kazi na Lissu alikuwa anamtaka Mbowe!🤣🤣🤣
  12. S

    PreGE2025 Lissu: UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa

    Naona mwaka umekosewa, badala ya kuandika tarehe 6 March, 2025 imeandikwa tarehe 6 March, 2024!
  13. S

    PreGE2025 Mzee Wassira Mdahalo tayari umefanyika

    Debe tupu 🤣🤣🤣
Back
Top Bottom