Recent content by socialife

  1. S

    JamiiForums Tanzania Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

    Nunua raba sahihi. Zoezi langu kuendesha mountain bike kumbe wenzangu wanavaa tight za baiskeli sikujua matokeo yake maumivu makali huko chini
  2. S

    JamiiForums Tanzania Niliingia chuo na matarajio ya kuwa na mahusiano angalau namimi lakini hadi sasa mambo yamekuwa tofauti, nifanyaje?

    Labda unahitaji darasa la kutongoza na lipo Mombasa ama sivyo tulia kijana hio kitu ukichovyachovya utajiharibia nyota yako bure halafu uje tena hapa ulalamike huna mafanikio yoyote.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nasimulia jinsi bosi wangu anavyopenda kinywaji, mara nyingine kutoa maamuzi akiwa amelewa, mtu akaniripoti nikaachishwa kazi; nifanyeje?

    Ofisi hakuna msiri wako hata siku moja. Usikubali kukaa vikundi hata mara moja, ikitokea hio nyanyua simu kana kwamba unaongea na simu toka nenda mbali urudi baadae wakishatawanyika. Kwa ufupi ofisi za pool unajikuta unaongea ni shida tupu hamna rafiki hapo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

    Bora wewe mie nilishaulizwa umeipendea nini gari hii mbona unayo mda mrefu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nimeamka asubuhi nimekuta shuka zina matone ya damu!! mpaka saizi najitafuta nilipoumia sipaoni?

    Niliwahi kulala Guest moja mpya barabarani kabisa, usiku ikanyesha mvua kubwa sana yenye upepo, kesho yake nimemka asubuhi nimetoka getini pakavu kabisa nikarudi ndani kuwauliza wakaniambia kila mwaka tarehe hio pana hio mvua nkahama zangu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuna muda wanawake wana intelijensia ya ajabu jana yamenikuta

    Kunywa mtindi nyumbani. Nunua ulimi pale jojes mbona hamna ugomvi mzee otherwise mwachie yeye achague pa kwenda ndio maana unapata taabu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni hali ya kawaida? Miaka 27 sasa nakojoa kitandani

    Ni kazi ya shetani. Nenda ukaombewe kaka na pole.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nipo kwenye mahusiano ila mwanaume wangu ana kipato kidogo. Naombeni ushauri nifanyaje?

    Kama ni ufugaji large scale say kuku 1000 msapoti mtapata mafanikio, ndio maana wanaume tunapenda kufanya mambo yetu halafu tuwape taarifa maana ubishi wenu unatuumiza hasahasa tusipokuwa na hela
  9. S

    JamiiForums Tanzania Bado sijapata suluhisho la Mwanangu kuongea

    Pole na changamoto. Nenda nae kwa Pst Ezekiel Mombasa. Panda basi Tahmeed yanakwenda kila siku nauli 35 uwe na passport au temporary pass naskia pia yapo mabasi yanatoka dar moja kwa moja mpaka kanisani kwake Mavueni.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

    Shukuru Mungu mzee, muombe Mungu akupe mwenza sahihi uache kulialia maana mwaka 2020 ni miaka 4 tu wala sio ya kuhuzunika
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa tatu nipo kwenye uadui mkubwa na wazazi wangu; siwasiliani nao wala sishirikiani nao kwa lolote

    Pole dogo. Wazazi wako hasahasa wa kiume ndio wanakupatia baraka. Ukikosa hizo baraka huko mbele ni lazima utapata shida. Komboa familia yako kupitia neno na uwapende hivyohivyo hata kama wamekuudhi, wapigie simu kila wiki kama wako mbali au watembelee kila wiki kama wako karibu huku ukipeleka...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaombaje mpaka maombi yenu yanajibiwa?

    Achana kabisa na twita, insta, telegram na facebook zinadisturb sana 'uwepo', whatsapp nayo sio kabisa labda viber
  13. S

    JamiiForums Tanzania Shida ya gesi tumboni

    Tumia Cocumber (Tango) hutajutia.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kutembea na wanawake wengi ni dalili ya ugonjwa wa akili

    Sio kweli. Angalia kwenu kama baba/babu alikuwa nayo, kuikwepa ni mpaka uwe muombaji haswa.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kuhimili tendo kwa muda mrefu

    Kama unapanua miguu unaharibu
Back
Top Bottom