Recent content by SNIV Baby

  1. SNIV Baby

    JamiiForums Tiba ya meno

    Asante SNIV Rockstar
  2. SNIV Baby

    JamiiForums Tiba ya meno

    Habari, waswahili wanasema dawa ya jino ni kulitoa tu Ila hapa naomba kupata mawazo tofauti na hilo juu ni kwa muda jino limekua likinisumbua nimeshatoa kadhaa na likitolewa hili jingine hufuata sasa naona meno yataisha. Na sasa naandika haya nikiwa katika maumivu makali naomba kujua dawa ya...
  3. SNIV Baby

    JamiiForums Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

    Kwanza naona lilikua kosa lako kuendelea kuwa nae ili hali ukijua huna mpango nae. Pili wewe kama uliona si sahihi kwako kwanini ulimpiga verse. Twende kwenye mada yabidi kwanza ujifunze kutokana na kosa lako kisha zungumza nae kwa uwazi naposema hivyo namaana tumia hekima na busara usilete...
Back
Top Bottom