Nafkiri serikal inahitaji kujitafakari zaidi, lakn viongoz wameshupaza shingo as if hawaoni Wala kuckia kinachoendelea Kwa wananchi. Wananchi mioyo yao imevunjika, so mm naona somehow Gwajima anawasilisha majonzi ya wananchi na sio kutoa maneno ya uchochezi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.