Hata vocha ikiharibika wakati wa kukwangua unaambiwa fika office zetu na uknunulia kwa mpesa, tigopesa, halopesa bado tozoo Ni nyingi... Huduma zao labda hazijali hela ndogondogo za vocha.
Mtu haouko addicted na pombe kazi yako iko vizuri na hakuna lawama Wala malalamiko yoyote kwa unaowahudumia lakini BOSS WAKO anakuambia chagua moja moja kazi au uende rehab?
Nlikua Naomba kufahamu mwajiri akitaka kumpeleka mfanyakazi wake rehab anatakiwa kufuata utaratibu gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.