Recent content by snakeboy

  1. S

    TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Umetoa OMBI zuri sana kwa Tanesco lakini NANI ATAMFUNGA PAKA KENGELE maana AHIITAJI NOTICE WALA KUSOMA MAHARI LECTURE, Katika nchi hii WANANCHI WA MWISHO WAO WA KWANZA
  2. S

    TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Hii ndio TANZANIA, KIFUATACHO KATIKT MGAO HUU WA UMEME TUNARUDI KULEKULE ENZI ZA WAZIRI ALIYEPUNGUZIWA MADARAKA KWA KUTOKUWA WAZIRI WA NISHATI NA MADI UKINUNUA KITU KULA KIISHE MAANA UKISEMA UKIACHE KITAOZA TANZANIA...
  3. S

    Watanzania Tumemkosea nini Mungu?

    usiseme mungu, wewe mwenyewe ushawahi kujiuliza KW NINI MUNGU KAKUPA AKILI?
  4. S

    Waandishi wa habari haswa wa magazeti na magazeti yao ya vyama

    pamoja kwa sana maana kuendelea kupenda KUYASHABIKIA magazeti kama haya YATATUGHARIMU WENYEWE
  5. S

    Kuhusu kuchinja.. Tunajidanganya

    Kwa aliyeona atakubaliana na mimi na ambae hajaona lazima aibishe, Kama Ushawahi kula NYAMA sehemu yeyote ile ILIKOCHINJWA hukufaham Uelewe kuwa MZOGA/KIBUDU Umeshakula na bado unaendelea kula, Watanzania tuwe na akili wa kufikilia kitu kabla hujatenda ili usije kujuta baada ya kutenda
  6. S

    Waandishi wa habari haswa wa magazeti na magazeti yao ya vyama

    Nimeangalia kwa umakini kwenye magazeti yetu ya KITANZANIA yanayotoka kila SIKU nimegundua hili, TAARIFA ambazo ina MADHARA au ni za UCHOCHEZI kwa WANANCHI ndizo zinazopewa KIPAUMBELE kwa kuandikwa kwa HERUFI KUBWA ukurasa wa mbele wa gazeti husika AU hiyo Taarifa inapoandikwa huwa INAKOREZWA...
Back
Top Bottom