Wakuu, kwa wenye uzoefu na hizi cable:
1. Kati ya Master Cable, Africab na Tronic, ipi ina ubora zaidi?
2. Ipi ina copper nzuri zaidi?
3. Ipi ina insulation imara na inayodumu?
4. Kwa wiring ya nyumba, mnashauri ipi kwa 1.5mm², 2.5mm² na 6mm²?
5. Kuna tofauti kubwa ya bei na ubora kati yao?
6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.