hahahaha wewe kichekesho tu mkuu, Kenya kuna nini cha kuliwa? Taxes? Kenya ni jangwa 75%, madini sufuri, hatuna chochote cha kuliwa. Tanzania ndugu zangu mna minerals worth trillions of dollars aise, migodi mme kuwa nayo for soooo many years, comparison yenyu upande wa minerals esp gold and...