Recent content by Smart version

  1. S

    GE2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo

    Ulikuwepo bwana wewe? Nasikitika baadhi ya watanzania wamechotwa na ulaghai wa lissu!ila niwaambie tu lissu hatokaa kupigania taifa hili lissu amegombea kwa Personal interest za kwake!na sio taifa ! Na ndio maana jana amekiri kuwa na tiketi ya kuondoka mara tu baada ya uchaguzi!
  2. S

    GE2020 Magufuli vs Lissu, nani yuko vizuri kuhusu Uchumi?

    Hoja gani alizojenga lisu? Za kuweka madini yetu rehani kama alivoandika kwenye ilani yao?hata hiyo maendeleo hayana chama ni magufuli ndo aliyeisema huyo mgombea wa kaki hakuna kitu amesema!
  3. S

    GE2020 Magufuli vs Lissu, nani yuko vizuri kuhusu Uchumi?

    Ndio kazi yake! Yaani kuhesabu madaraja,barabara na miundombinu hiyo ndo kazi yake pamoja na kuhakikisha usalama wa wananchi wake na ndio maana kipindi cha corona alituvusha na alisimama na sisi !kudhalilisha akina mama ni hoja ambayo haina mashiko na haina maana naye pia ni mtoto kwa mama yake...
Back
Top Bottom