Recent content by Smart Finance

  1. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Passive Income Haiwezi kukutajirisha - Wanakudanganya.

    Forex trading ni active income kwasababu inahitaji ushiriki wako wa moja kwa moja. Lazima utumie muda kulisoma soko kila siku, kufanya maamuzi ya haraka, kusoma graphs yaani kwa kifupi ili uwe forex trader mzuri na mwenye mafanikio lazima uhusike moja kwa moja na tradings zako. Ila kuna baadhi...
  2. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Passive Income Haiwezi kukutajirisha - Wanakudanganya.

    Mapenzi aliweka kando kidogo
  3. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Passive Income Haiwezi kukutajirisha - Wanakudanganya.

    Uko sahihi... na utakubaliana nami kwamba ukitegemea passive income peke yake HUTOBOI
  4. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Passive Income Haiwezi kukutajirisha - Wanakudanganya.

    Usiyoyajua kuhusu huyo mzee ni kwamba hayo magawio unayoyaona ya coca, apple na kampuni zengine alizowekeza ni hatua za mwisho kabisa za safari yake ya mafanikio. Ngoja nikuulize ndugu yangu. Wewe unafikiri mpaka kufikia kulipwa zaidi ya $700m (Trilioni 1.795 TZS) kama gawio kwa mwaka, huyu mtu...
  5. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Passive Income Haiwezi kukutajirisha - Wanakudanganya.

    Imeandaliwa na Smart Finance SW Siku hizi, watu wengi wanapenda kusikia kuhusu habari za passive income. Wanavutiwa na njia za kutengeneza pesa kupitia mfumo huu. Kama hujui passive income ni nini, nitaeleza kwa ufupi lakini unaweza pia kufanya utafiti wako binafsi. Passive income ni kipato...
  6. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Dondoo muhimu juu ya soko la hisa DSE

    Imeandaliwa na Smart Finance SW 📚 Uwekezaji katika soko la hisa una faida kubwa na hatari kubwa lakini pia ni njia yenye uwezo mkubwa wa kukuza mtaji kwa muda mrefu. Kwa mtu asiye na uzoefu na maarifa ya kutosha ni vyema kuwasiliana na wataalamu wakusaidie na anza kujifunza taratibu taratibu...
  7. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Kalenda Mpya ya Minada ya Dhamana za Serikali Yatolewa: Fursa kwa Wewe Mwekezaji!

    Zipo nyingi..... Fanya uchunguzi binafsi kujua kampuni ipi ni salama na ipi inakufaa.
  8. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Kalenda Mpya ya Minada ya Dhamana za Serikali Yatolewa: Fursa kwa Wewe Mwekezaji!

    Kalenda ya minada ya dhamana za serikali ni ratiba rasmi inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ikionesha tarehe na aina ya minada ya dhamana za serikali zitakazofanyika kwa kipindi fulani (kwa kawaida mwaka mzima au kila robo mwaka). Sasa jana kupitia kurasa zao BOT, wametoa kalenda ya nusu...
  9. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Biashara fulani inalipa sana pale ukisimuliwa

    Akili ya vita utaipata vitani
  10. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Vigezo vinne vya kuanza uwekezaji wa Hisa, Bonds & Hatifungani

    Hapana ukiwekeza kwente bonds unalipwa mara mbili kwa mwaka. And yes bonds hutumika kama dhamana ya mkopo, ongea nao vizuri tu
  11. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Najuta kutokununua Bitcoin/Binance 2017/2018, uwezo nilikuwa nao ama kweli bahati haiji mara mbili

    Majuto hayatakusaidia chochote, kila mwanadamu ana kipindi ambacho kama angerudi kurekebisha leo hii angekuwa tajiri. Wewe ni 2017 kwenye BTC, mwengine kwenye ardhi, mwengine kilimo mwengine mgodini yote kwa yote ndo maisha ya binadamu. Cha msingi tukio hilo litumie kama funzo - jifunze Kisha...
  12. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Vigezo vinne vya kuanza uwekezaji wa Hisa, Bonds & Hatifungani

    Kila mtu anatamani kuanza kuwekeza ili pesa yake izalishe, lakini si kila fursa ni nzuri kwa kila mtu. Huo ni ukweli naomba uwekwe wazi. Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza kwenye hisa, bonds au vipande ni lazima ujipime kwanza. Je, uko tayari kiakili, kifedha, na kimtazamo? Makala hii...
  13. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa ushauri wa kifedha bila kumfadhaisha mtu

    Imeandaliwa na Smart Finance SW Nimekuwa nikifuatilia ushauri wa watu mbali mbali kwenye hii platform na platform zengine huko zinazohusiana na mswala ya fedha. Nilichogundua watu wengi au washauri wengi wanapenda sana kutumia nyakati zilizopita wanapotoa ushauri au kuelezea juu ya fursa...
  14. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Mambo 6 ya kufanya Ili ufanikiwe kwenye maisha

    Umasikini na utajiri ni kama virusi—vyote vinaambukiza! Ukiwa karibu na mafanikio, nawe utafanikiwa, ukiwa karibu na umasikini, na wewe utakuwa masikini hivyo hivyo. Siri ya kufanikiwa ni kuchagua mazingira yanayokuinua. 1. Epuka marafiki ambao hawana cha kupoteza Marafiki wa aina hii mara...
  15. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Umasikini Kwa lugha nyengine ni Ujinga - Maarifa ni Dawa ya Umasikini

    Umaskini hauanzi kwenye mfukoni, unaanzia kichwani. Ni hali ya kifikra kabla haijawa hali ya maisha. Mtu maskini si yule asiye na pesa, bali ni yule anayekataa kujifunza, anayepuuza maarifa, na kuamini kuwa hali yake haiwezi kubadilika. Huu ni ujinga wa hali ya juu. Sehemu ambapo ujinga ni...
Back
Top Bottom