Recent content by Slow Pork Joe

  1. Slow Pork Joe

    Maandamano ya BLM yalipikwa na media kwa kuficha ukweli na kugharimu maisha ya watu, je hii ni sawa?

    Ni kweli kabisa unachoongea. Cnn, Msnbc, abc, TWITTER, FB, walihusika sana. Hio video ilitoka baada ya miezi mitatu kwanini?? kwanin haipendekezwi kuangaliwa ili watu wajue ukweli halisi?/ Sikani kwmba kuwa kuna mapolisi wapo wanaoonea watu weusi lakini media ilichofanya kwa kuwapa watu stori...
  2. Slow Pork Joe

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    miundo mbinu yenu, Imekuwa ni kkwazo kwa watumiaji wa barabara Eneo: Chuo cha Teku, Mbeya. Hii ni jana, Ngazi iliwekwa kati kati ya barabara kushikilia cble Hii ni leo, Magari makubwa yanapata changamoto
  3. Slow Pork Joe

    The Art of the Deal: Trump kuanzisha chama chake ni akili kubwa na pigo kwa Republicans

    Baada ya vuta nikuvute kwa uchaguzi wa Marekani ni dhahiri kwamba tumeona Trump hakupewa ushirikiano na Chama chake cha Republicans, Sio Hivyo tu kwani tangu mwaka 1016 hadi 2018 chama hicho kilipokuwa kimeshukilia senate na house bado walikuwa ni mzigo kwa Trump. Trump kaamua kuunda chama...
Back
Top Bottom