Hapo jamaa alijuwa na binamu yake lakin wakati wanongea tembe ya mate ikaingia mdani yadomo wake n binamu yake ni muathirika sasa vct wamemuambia yupo kwenye hatati ya kupata vvu aanze pep.
Sent using Jamii Forums mobile app
I hope you are doing well and heloing people i need your help last night was chating to my cousi brother and he was diagnosed since 2014 hiv possitive and when am talking with him the speck of his saliva get inside my tongue and eye so now am scared and he Viral load detected so now am stop...
Kwaushauri zaidi nenda kwenye google search helplivevancouver utapat ajibu yako kamili ila mate usihofu kwani yana enzme zinazoua vvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kaka pole sana mungu atakusaidia ila kuhusu pep unapima kwanza halafu unakaa baada ya kumaliza pep unapima tena baada ya miezi mi3 na mpaka itimie si6 apo utkuwa umekmilisha na kuwa sawa na afya yako pia vilevile kama anatumia dawa vizuri na bila kuacha na akawa RNA VIRAL LOAD UNDETECTABLE...
Ulimi sio mzuri kama itakutana na michubuko kwenye mdomo wa mwenza nawe ukawa nayo pia il inatakiwa michubuko ya vidonda sio meno mabovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za kazi wanajamii nauliza swali na tunahitaji majibu mimi na rafiki yangu tulikuwa tunazungumza kwa mbali kidogo kama umbali wa menza ya kulia chakula basi wakati anaongea nikahisi tembe ya mate yake yameingia kwenye ulimi wangu mdomoni na yeye anatumia ARV yaani nimuathirika naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.