Recent content by Slainquick

  1. S

    LAPF hatarini kuwatosa wanachama

    Msilete hoja za kishabiki, kama umetumwa na hiyo mifuko badirika. Naongelea swala na mama yangu kutolipwa na LAPF Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    LAPF hatarini kuwatosa wanachama

    Hawa Lapf hawajamlipa mama yangu toka astaafu mwezi wa kwanza, kila akienda kwenye ofisi zao za Dodoma wanamwambia michango yake haijaletwa toka hazina. Mh.Makonda naomba utusaidie Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom