Recent content by Sking zone

  1. Sking zone

    𝐌aandamano ni Haki Kikatiba na msingi muhimu kwenye nchi yenye Demokrasia. Waandamaji wapewe ulinzi

    Ni haki na inahitajika wapewe ulinzi wa hakika, kwani ni moja ya misingi kidemokrasia, maandamano hahajafanyika hivyo uovu wa maandamano haujaonekana. Watakapofanya maandamano yao kwa kusababisha vurugu, hapo sheria ndipo ifate mkondo wake lakini pindi maandamano bado hata kufanyika sheria...
  2. Sking zone

    PreGE2025 Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu

    Bado imekua kama fumbo kwa wale wasadikio na wale wasio sadiki, ni sababu ipi kwamba inayopelekea swala la utekaji na mauaji kipindi uchaguzi mkuu unapokaribia hapa nchini kwtu, je, ndio imani potofu inayosukuma swala hili, je, ni sehemu za upinzani kupunguza nguvu ya upibzani wakati wa...
  3. Sking zone

    SoC04 Njia kuu pekee ya kuijenga Tanzania tuitakayo miaka 5-25 ijayo

    Kuijenga Tanzania imara miaka mitano hadi ishirini na tano ijayo yaweza kuwa kama ndoto za chizi maarufu hapa nchini kuota kawa Rais wa nchi hii hapo baadae endapo tatizo la uogozi mbovu litaendelea na endapo migogoro na majibizano ya kisiasa yasiyo na tija yataendelea, tuige mifano mizuri kwa...
  4. Sking zone

    Rais Samia achana na wafanyabiashara wa Kariakoo, wasikupe presha!

    𝐂𝐡𝐚𝐦𝐬𝐢𝐧𝐠𝐢 𝐬𝐞𝐫𝐢𝐤𝐚𝐥𝐢 𝐢𝐚𝐧𝐠𝐚𝐥𝐢𝐞 𝐦𝐛𝐢𝐧𝐮 𝐧𝐚 𝐧𝐣𝐢𝐚𝐛𝐚𝐝𝐚𝐥𝐚 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐮𝐥𝐮𝐡𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐡𝐢𝐢 𝐦𝐢𝐠𝐨𝐠𝐨𝐫𝐨
  5. Sking zone

    SoC04 Tanzania tuitakayo juu ya sekta ya elimu

    Na hii ndiyo Tanzania tuitakayo hapo baadae juu ya nyanja ya elimu hapa nchini Tanzania Elimu sahihi na bora itafanya kuinua na kuchochea mambo mbalimbali hapa nchini kwani nchi itazalisha wasomi wengi na wenye weledi wa hali ya jui endapo mipango madhubuti itachukuliwa hatua Ili kuujenga...
  6. Sking zone

    SoC04 Tanzania tuitaayo juu ya ubadhirifu wa CAG

    Kulingana na report ya CAG hapa nchini kwa miaka hii miwili imeonekana kuwa na mapungufu mengi kwani imeandamwa na hasara nyingi na baadhi ya vitengo kutokutoa report zao kwa muda sahihi Jambo hili limeweka wananchi kuwa na sintofahamu nyingi kwenye bongo zao kwani hawajui nini maana ya...
  7. Sking zone

    SoC04 Ukatili watoto hapa nchini

    swala ukatili kwa watoto hapa nchini lina linasababisha changamoto na matatizo mengi hapa tanzania, matokeo ya unyanyasaji wa watoto a.kupelekea matatizo ya akili kwa mtoto anaye nyanyaswa au kukatiliwa kwani atapata msongo wa mawazo na kupata sonona yaani ugonjwa wa akili unaosababishwa na...
  8. Sking zone

    SoC04 Maendeleo ya vyombo vya habari miaka 5-25 ijayo

    𝐈𝐥𝐢 𝐤𝐮𝐟𝐢𝐤𝐢𝐚 𝐦𝐚𝐥𝐞𝐧𝐠𝐨 𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐨 𝐲𝐚 𝐯𝐲𝐨𝐛𝐨 𝐯𝐮𝐚 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 ��𝐤𝐮𝐨𝐧𝐝𝐨𝐚 𝐦𝐤𝐚𝐧𝐠𝐚𝐧𝐲𝐢𝐤𝐨 𝐰𝐚 𝐯𝐲𝐨𝐦𝐛𝐨 𝐯𝐲𝐚 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐧𝐚 𝐬𝐢𝐚𝐬𝐚 ��𝐬𝐞𝐫𝐢𝐤𝐚𝐫𝐢 𝐤𝐮𝐛𝐨𝐫𝐞𝐬𝐡𝐚 𝐦𝐢𝐮𝐧𝐝𝐨𝐦𝐢𝐧𝐮 𝐲𝐚 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐧𝐜𝐡𝐢𝐧𝐢 ��𝐤𝐮𝐚𝐧𝐳𝐢𝐬𝐡𝐰𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐨𝐦𝐨 𝐲𝐚 𝐭𝐚𝐬𝐢𝐧𝐢𝐚 𝐲𝐚 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐡𝐚𝐩𝐚 𝐧𝐜𝐡𝐢𝐧𝐢 𝐤𝐮𝐚𝐧𝐳𝐢𝐚 𝐧𝐠𝐚𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐬𝐞𝐤𝐨𝐧𝐝𝐚𝐫𝐢 ��𝐯𝐲𝐨𝐦𝐛𝐨 𝐯𝐲𝐚 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐤𝐮𝐨𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐚 𝐮𝐩𝐚𝐧𝐝𝐞 𝐦𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐰𝐚 𝐬𝐢𝐚𝐬𝐚...
  9. Sking zone

    SoC04 Tanzania ijayo

    Ili kifikia Tanzania tuitakayo yabidi yafuatayo yafanyike Kuboresha miundo mbinu vijijini na mijini kwa mfano Barbara, hospitari, na hata kwenye miundo mbinu ya uchumi wa nchi, na hii itawezeaha kuweka urahisi was usafirishaji wa malighafi kutoka shambani Hadi mijini kwenye viwanda, na hata...
  10. Sking zone

    SoC04 Tanzania tuitakayo iwe ya mfano duniani

    NATAKA TANZANIA IWE YA MAFANO DUNIANI (USHAIRI) --------------------------------------------------- maono yalo moyoni, kichwani mwangu akili asilimia Imani, naona hiyo fahali Miji paka jijini, niona nzur Hali naona nchi ijayo, mfano kwenye dunia hii ndoto yangu pevu, kuona ikichipua na tuli...
  11. Sking zone

    SoC04 Ushiriki wa Wanawake kwenye siasa na maono juu ya Tanzania tuitakayo

    USHIRIKI WA WANAWAKE KWENYE SIASA NA MAONO JUU YA TANZANIA TUITAKAYO ********************************************** Ulikuwa ni siku ya Jumapili amabpo nilikuwa nimepumzika chini ya mti mzurii wenye kivuli na upepo uletao faraja, Mara ghafra akili yangu ikaama na kuanzakuwaza Mambo mengi Sana...
Back
Top Bottom