Siku zote unapo muona mtu analalamjka,basi usimzarau msikilize
anaihitaji nini ?
Wanacho kidai Wazanzibari ni sahihi ,
Hebu jiulize kwa nini walalamike, hakuna mtu ambaye hapendi maslahi ila ukiona lawama jua maslahi hakuna na kama yapo bisi ni yawachache.
Hivi mnajua kama Wazanzibari...