Samahani kwahiyo pale kwenye other attachments naweza kuattach birth certificate, tcu certificate, na vingine sio, pia nafasi ninayoomba naiandika wapi ili iwe rahisi kurecognise
Jamani msaada wa maelekezo ya kuattach barua kwenye recruitment portal mambo mengine yote nishafanya ila jinsi ya kutuma maombi ndipo inshu ilipo pia passport size na attach sehemu gani?
Inategemeana ukiuza miti iliyotimia kupasua mbao ekari Moja ni kuanzia million 12 tsh na ukiamua kupasua mbao mwenyewe na kuuza utapata zaidi ya million 25 tsh
Gharama ni
Mche mmoja wa miti ni tsh 100
Kupanda Mche mmoja tsh 80
Idadi ya miche kwa ekari Moja ni miche 500
Usafirishaji wa miche inategemeana na Idadi ya miche, umbali toka eneo la kitalu cha miche Kilipo.
Ni mpakani mwa Ruvuma na njombe kijijini cha Igawisenga pia kuna sehemu mbili, shamba Moja mita 20 kutoka barabarani na jingine km 2 kutoka barabara kuu njombe to songea
Shamba lisilo na miti iliyopandwa ni tsh. 140000 kwa ekari Moja, shamba ambalo limepandwa miti yenye umri wa miaka 4 hadi 6 tsh 700000 kwa ekari Moja, na yenye miaka 7 hadi 10 tsh 140000
Yeyote anayehitaji ardhi ya Kupanda miti ya mbao au mashamba yenye miti ya mbao, yaliyopo mkoani njombe awasiliane nasi kupitia namba hizi
0785879515, 0657657765, 0758355218, 0714565878
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.