Recent content by sixhood

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kazi za ndani

    Habari wadau Natafuta dada wa kazi za nyumban Awe na umri kati ya miaka 18-25 Awe mwaminifu na mchapa kazi Awe anajua kazi zote za nyumban Maana mm ni bachelor Ila naishi na wadogo zangu Kazi kubwa n kufua kupika na usafi wa nyumban Mimi nipo kigamboni dar es salam Mshahara maelewano...
Back
Top Bottom