Recent content by SIX ICYLICENT

  1. S

    Maalumu kwa wansohitaji AVN number

    Sure bro AVN ni zaidi ya tatizo
  2. S

    Majibu NACTE yanatoka lini?

    Samahan..kuna issue ya AVN Kwa wale wenye diploma.ila ukiomba unaambiwa nacte hawana matokeo yako.ukijaribu kuwasiliana na chuo hawatoi ushirikiano...ni utaratibu gani unaweza kutumia labda mtu akapata msaada ?
  3. S

    Equivalent wanapataje AVN number mwaka huu kwa ajiri ya kuapply vyuo

    Shida kila nikiomba naambiwa chuo hakijatuma matokeo...ukiwasiliana na chuo wanasema walishatuma ...hii mambo ni pasuakichwa
  4. S

    Msaada: Kozi ipi ya kusoma kwa mchepuo wa PCB?

    Mwambie aombe MD ila achague vyuo vya kuomba.[/QUOTE Nashukuru sana sana kaka...
  5. S

    Msaada: Kozi ipi ya kusoma kwa mchepuo wa PCB?

    Form 4 alipata dvn two ya 21 na Phy-C, Bios-D ,na chem-C masomo mengine yote amepata -C
  6. S

    Msaada: Kozi ipi ya kusoma kwa mchepuo wa PCB?

    Kuna mdogo wangu ana GPA ya 3.9 ya clinical medicine ushauli wako bro
  7. S

    NACTE AVN NI ZAIDI YA TATIZO;

    Kuna issue ya AVN imekuwa tatio jaman.Nacte wanasema wahitimu wawasiliane na vyuo vitume matokeo ndo wapatiwe AVN.... Hivi Nacte si ni bodi inayosimamia vyuo vyote vya ufundi..kwanini wasiamulishe/au waweke utaratibu wa lazima kwa vyuo vyote kutuma matokeo jaman ..mpka wahitimu wakapige tena...
  8. S

    Award Verfication Number kwa Diploma kwenda Shahada

    kaka umeiomba kwenye system au umeenda direct kwenye ofisi zao makao makuu?..mimi nimeomba sana kama mara 5 sijawahi pata
  9. S

    Kutoka Diploma kwenda Shahada..

    Award Verfication Number (AVN)
  10. S

    Award Verfication Number kwa Diploma kwenda Shahada

    Ndugu. Habari za mida. Samahani anaye elewa juu ya upatikanaji wa hii Namba ya AVN naomba msaada wake...nimeiomba tangu Mwezi jana hawajanipatia..msaada wenu
  11. S

    Kutoka Diploma kwenda Shahada..

    N Anaye elewa kuhusu hii mambo ya upatikanaji wa "Award Verfictn Number" msaada wenu ndugu
Back
Top Bottom