Recent content by Siwuya

  1. Siwuya

    Tangazo la Kutafta Kazi ya Graphics Designing or ICT Solutions

    Brother ulichojibu ndivyo ilivyo kwa background mambo ni mengi but all in all kinachotaftwa ni mtaji hela upatikane kwa kufanya Kazi kwenye Ofisi za watu/Freelancing au Vinginevyo mtaji Ujuzi somehow ninao, naendelea kupokea ushauri wenu/maoni. Ahsante
  2. Siwuya

    Tangazo la Kutafta Kazi ya Graphics Designing or ICT Solutions

    Sawa nimepokea comment ako bro
  3. Siwuya

    Tangazo la Kutafta Kazi ya Graphics Designing or ICT Solutions

    Hizo hapo boss unaweza view attachement
  4. Siwuya

    Tangazo la Kutafta Kazi ya Graphics Designing or ICT Solutions

    Nimekuelewa Mkuu nitafanyia Kazi hilo
  5. Siwuya

    Tangazo la Kutafta Kazi ya Graphics Designing or ICT Solutions

     Mimi ni kijana wa Umri Miaka 28 Education Level Degree nina uzoefu wa zaidi ya Miaka kwenye maeneo hayo mawili kwenye Graphics Design Kazi nazoweza kufanya -Desiging All Digital Printing Material such as Vipeperush, Roll up Banner, Logo,Product Label, etc. -Sticker(Car)...
  6. Siwuya

    Natafuta kazi ya Graphics Designer

    Thanks Boss
  7. Siwuya

    Natafuta kazi ya Graphics Designer

    Hello wana JF, haijaisha Mpaka iishe, Nimerudi tena naomba mnisaidie kushare hii tafadhali, Natafuta kazi ya ICT SOLUTIONS / GRAPHICS DESIGNER Kazi nazofanya kwenye Eneo la GRAPHICS DESIGN ni -T-shirt Printing, -Graphics Design, Printing & Branding, -Car Tinted & Sticker -Social Media...
  8. Siwuya

    Natafuta kazi ya Graphics Designer

    Ahsante,Nimepokea nitaifanyia kazi hilo
  9. Siwuya

    Natafuta kazi ya Graphics Designer

    Another Attachement Nipo Morogoro
  10. Siwuya

    Natafuta kazi ya Graphics Designer

    Mimi ni kijana wa miaka 28 Graduate wa Mzumbe Level ya Degree katika Chuo Kikuu Mzumbe Coures: Information Communication Technology with Business ( ICT-B). Nimefanya kazi hii ya Graphics Designing kama Freelancer kwa zaidi ya Miaka Minne(5) kwenye Maeneo tofauti kama Vile Iringa, Mbeya...
Back
Top Bottom