Recent content by Siwema1234

  1. S

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kufika nchi yoyote Duniani

    Jichungeni na wizi wa mitandao msidanganyike kabisa hakuna kitu kama hichi nchi za ilaya....wao ndio wanakuja kufanya kazi za bure kwa sababi ya CV zao. Hawa kwenye mitandao wanao waambia kuwa mtapata kwenda kwenye hizi nchi kwa sababu ya kazi za kujitolea ni matapeli kama hamuamini lipeni hizo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi tuna Private Investigators Tanzania?

    Wapo wagoogle mie najua wapo niliwahi kuwatafuta
  3. S

    JamiiForums Tanzania Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Duh huyu jamaa ni bonge la fala bado anakereketwa na michango walio towa wengine...sasa kama ume graduate miaka 8 na unamaisha yako unatafuta nini kwa wasio na maisha. Kaa na maisha yako usubiri kuwekwa kwenye show room ukifa. Tuje kuku visit mtu uliyekuwa na maisha yake kama farao.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Kaibiwa nani??
  5. S

    JamiiForums Tanzania Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Low class please don't drag me to your level..
  6. S

    JamiiForums Tanzania Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Akujibu wewe nani???
  7. S

    JamiiForums Tanzania Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Hata tembo alimdharau sisimizi lakini aliweza kumuuwa....eti una maisha wenye maisha huwa hawajitangazi weweeeee.....uliwahi kumuona bakhresa anaambia watu kuwa watu tuna maisha yetu.....duh nchi hii ina safari ndefu sana acha magufuli awanyooshe na sheria za mitandao. Una ita mtu tapeli wakati...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Wivu unakusumbua ungekuwa una maisha yako usingefatilia ya watu....sema tu na ww kama unataka kuchangiwa...ama kweli ndio maana riziki mungu ndio anayo gawa ungepewa wewe kugawa riziki watu wote wangekufa na njaa...bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Acha wivu hujachanga kiherehere cha nini hata kiswahili hujui.....
  10. S

    JamiiForums Tanzania Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Usibishane na wajinga they will drag you to there level....wewe ni msomi kunasiku utamwajiri huyu kusafisha choo chako..mark my ward
  11. S

    JamiiForums Tanzania CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    Warudishwe tuu mbona aridhi yetu ni kubwa watapata nafasi ya kuishi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwani kusoma ni kujua Kiingereza?

    Kitumike huko huko nje kwetu hatukitaki hata sisi tuna lugha zetu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwani kusoma ni kujua Kiingereza?

    Mbona waturuki hawajui kiingereza acheni kushusha hadhi yalugh zenu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwani kusoma ni kujua Kiingereza?

    Na alipo enda kusoma salford uni kwani alimtuma samia...acha kuongea kufurahisha genge fikiri kabla
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kushindikana kwa maandamano ya Mange kumeacha maswali gani?

    mtabaki kutoa mifano tuu ya nchi zingine....tz hatuandamani ng'o mpaka mje na nyie kuandamana na sisi
Back
Top Bottom