Recent content by SiwazuriSiwazuri

  1. SiwazuriSiwazuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujasiri wa kusimama mbele za watu wengi

    [emoji120]
  2. SiwazuriSiwazuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujasiri wa kusimama mbele za watu wengi

    Msaada mwenzenu yamenikuta nina sherehe yangu ya ndoa hivi karibuni, Sasa basi kila nikifikiria kwenda kusimama mbele za watu na kuongea yaani katika kutambulisha uwiii[emoji28]nahisi jasho jembamba linanitoka, unaweza kushangaa la mbele unarudisha nyuma, na la nyuma unapeleka mbele...plz...
  3. SiwazuriSiwazuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, wazijua siri kumi za ndoa?

    Asante mkuu....
  4. SiwazuriSiwazuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujuzane changamoto zinazojitokeza kipindi cha harakati za ndoa

    Mkuu nmekusikiliza nmekuelewa sana, uko sahihi kabisa....ni nikweli akuna mtu anayependa Apatwe na matatizo, shida zimepangwa kutokea kwa binadamu hivyo hatunabudi kukaa nakusubiri pia na kumshirikisha mungu katika hili maana kwa akili zetu hatuwezi....na naamini nitakuja na mrejesho...amina...
  5. SiwazuriSiwazuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujuzane changamoto zinazojitokeza kipindi cha harakati za ndoa

    Asante mkuu
  6. SiwazuriSiwazuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujuzane changamoto zinazojitokeza kipindi cha harakati za ndoa

    Ni kweli naamini hilo
  7. SiwazuriSiwazuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujuzane changamoto zinazojitokeza kipindi cha harakati za ndoa

    Milioni 2
  8. SiwazuriSiwazuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujuzane changamoto zinazojitokeza kipindi cha harakati za ndoa

    Wakuu Msaada jamani, maana huku kwangu ni shida familia ya msichana ni shida. Unakuta mmepanga kupeleka mahari unasikia msiba, kuna mgonjwa yaani ni pasua kichwa. Hivi ni mimi tu au ni kawaida?
Back
Top Bottom