Recent content by Sitilicious

  1. S

    Kila nikitongoza napigwa vibuti (nakataliwa) na mabinti

    Hahahaha!!nimecheka mie eti mapenz pesa sura kapigie picha!!!
  2. S

    Binti kuwa karibu sana na baba yake

    Ahsante!! Ni kwel ndugu tumshukuru Mungu yey ndie muweza wa yote.
  3. S

    Binti kuwa karibu sana na baba yake

    Daah! Nimesoma thread yako imenitoa machoz,nawaonea raha sana wenye baba zao, nami katika maisha yangu sijawah kuita Baba. Ni bora angekuwa amekufa,yupo na hana msaada wowote kwangu. Mama yangu ndio kila kitu amenifikisha hapa nilipo. Hayo mapenzi ya baba wala hata siyajui mwenzenu.
  4. S

    She is here now, I need her back

    Lakin kaa ukijua siku akiamua kukudelete ktk maisha yake hata hyo simu yako utakayo mpigia hatathubutu kuipokea. Na hapo ndipo utakapopata maumivu zaid ya yale ya awali.
  5. S

    She is here now, I need her back

    Kwa maelezo yako ya mwisho Maureen inaonekana bado unampenda Uran. Mbona kama unalazmisha kuendelea kuwasiliana nae kama humtaki?
Back
Top Bottom