Ndio ila ni kama ulikuwa unabisha kwenye 'hamna' hivi. Unamkosa mtoa post kwa kumuita mshamba na wakati hakutaja terminal, una shida ndani ya kichwa chako. You need serious treatment!
Hata kama, na hayo mauaji hufaywa na wanaume kwa wake zao. Sasa mtu anayekuroga kwa limbwata na kukusaliti nani bora, ukisalitiwa unamuacha ila ukirogwa unakuwa unuseful hata kwa mwingine.
Sijabisha, kwani mtu anaposema hataki kuoa mke asiyesona, anampangia Mungu? Kwa hiyo ukiweka vigezo kwa mtu unayehitaji unakuwa unampangia Mungu?
Kama ni hivyo watu wasingechagua hata vimo kwani wanampangia Mungu, kuna watu tofauti, kila mtu anaoa watu aa kaliba yake imvutiayo, na si dhambi.
Nikue mara ngapi? Kila mtu na vigezo vyake sheikh, tusipangiane. Mimi moja ya vigezo vyangu vikuu ni ELIMU, na sio ya kuunga unga. Kila mtu apambane kivyake mkuu! Na itabaki kiwa hivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.