kwanza hakuna waziri wa tanganyika kuna waziri wa tanzania nije kwenye mada moja kwa moja katika baraza hili la mawaziri ni mawaziri wawili tuu ambao binafsi yangu wanafanya kazi MR Husein Bashe na Mchengerwa hawa wengine sijui wanafanya nini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.