Masatu,[B]
Kwani we ni Admin wa JF? Ina maana unakipimo cha kupima ni yapi: [B]mambo binafsi, udaku, kashfa, na matusi !
Usinielewe vibaya, hoja yangu ni kwamba swala la A. Chifupa halipaswi kuwa na uzito na kuchukua nafasi kubwa ya mjadala kwenye JF na wala si vyinginevyo.
Halafu siwezi...