Recent content by sister mongi

  1. S

    JamiiForums INAUZWA Pikipiki TVS Star HLX 125 inauzwa

    Naomba mkataba boss nifanye kaz nikutafutie hyo hela
  2. S

    JamiiForums Natafuta bajaji ya mkataba

    Mwaka Unaangalia hesabu ninayokupa kwa huo muda itakuwa imekulipa hela yako na faida
  3. S

    JamiiForums Natafuta bajaji ya mkataba

    Niko mbezi Nishafaya mkataba wa kuedesha kupeleka hesabu nimefanya miwili. Mkataba wa bajaj ili nimilik iwe yangu kwa siku n elfu 20 kwa pikipik ni elf 10 kunawanaofanya mwaka kunawanaofanya mwaka na miez 4
  4. S

    JamiiForums Natafuta bajaji ya mkataba

    Habari ndugu mimi nikijana wa miaka 30 nidereva natafuta bajaji au pikipiki ya mkataba au anaejua sehemu wanatoa mikataba anisaidie niweze kujikimu asanten
Back
Top Bottom