navyoona chamsingi ni kila mtu kuwajibika katika nafasi yake bila kujali maslai ya chama kwakua utakuwa na support nzuri toka nguvu ya umma na wapenda maendeleo wote. natumai kunasiku hawa watu sisiem) wataulizwa kama wanachokifanya ni sahihi nakama nihaki kwa watu waliopewa dhamana ya kuwaongoza.
twaitaji kiongozi atakaetuonyesha njia na kutuongoza katika kupigana na umaskini wa auna yoyote ile na atakaetumia rasilimali za nchi kwamanufaaa ya wote na si kwamanufaa yake na mkewe na ndugu zake wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.