Wanajukwaa,
Nimekuwa nikisoma mada mbalimbali huku MMU imebidi niwaombe tuweke koma tuwaze kidogo; hivi ni kweli TZ imefikia huko? Kila siku vituko vya mapenzi: leo boss ananitaka, kesho mwenye nyumba anamtaka fulani, mara mtu kalala na mama na mtoto, mwingine kafumaniwa, wengine wakutwa gesti...