Recent content by SISAMARO

  1. S

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa mgombea mwenye nafasi kubwa zaidi ya kushinda uenyekiti BAVICHA

    Kweli hujui kufanya siasa wala kampeni. Kwanza umezungumzia cv ya mtu isiyoendana na nafasi anayowania, kwa maana ya kwamba kuwa chair wa Chasso-SAUT haitoshi kumnadi kuwa Chair wa BAVICHA , pili umeshindwa kusoma alama za nyakati kwa kutokutambua hali iliyopo kati ya SAHARA MEDIA VS CHADEMA...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akabidhiwa fomu za kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa

    Kuna watu hawatalala leo.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tunaungana kumtaka Prof. Tibaijuka agombee urais

    Atachora chini mwakani.
  4. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

    Naona ACT Kazini
  5. S

    JamiiForums Tanzania Pinda abadili upepo wa CCM urais 2015

    Wandugu, nimefikiria sana tangu vyombo mbalimbali vya habari vimnukuu Mizengo Pinda kwamba naye atagombea nafasi ya kwenda kuishi Magogoni. Hivi akijipima mabavu anadhani anauwezo wa kushika nafasi hyo nyeti..!!? Kweli sura siyo roho.
Back
Top Bottom