Recent content by Sirina

  1. S

    JamiiForums Tanzania Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

    We jamaa nimekushtukia😀 Ndio unayetuuzia simu za mikopo. Simu za mikopo ni utapeli mtupu, sema mna bahati wateja wenu wengi wameajiriwa. Bila hivyo mngekuwa mmefilisika.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

    Sema wanaokopa wengi naona ni waajiriwa, wanaona hamna shida maana kila mwezi mzigo unaingia. Ukiajiriwa sometimes unajisahau sana.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

    Nakubali mkuu😀
  4. S

    JamiiForums Tanzania Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

    Mimi wakala, nafanya miamala mitandao yote.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

    Duh hapo ni kujitoa muhanga. Huwezi kujua litakalokukuta.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

    Nakupataje mkuu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

    Hii noma Sasa ndugu ningewauliza unafikiri wangenikopesha😀
  8. S

    JamiiForums Tanzania Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

    Kuendelea kulipa hapana mkuu. Kwani ukiirudisha wanaipokea?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

    Hiyo pesa ya mkopo ni ndefu balaa. Wakinifuatilia nawaambia imeibiwa.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

    Pole sana. Ila ki ufupi hiyo miradi ya kukopesha simu ni kama utapeli tu unaojaribu kutafutiwa namna uwe halali. Yani ukipiga hesabu unakuta mkopo wote ni sawa na mara mbili ya pesa inayotakiwa kununua simu mbili mpya kama uliyokopa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

    Mimi mwenyewe nina wasiwasi😀
  12. S

    JamiiForums Tanzania Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

    Habari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo simu maana deni ni kubwa. Hivi nikiacha kuilipia kuna shida yoyote nitapata, ukiachana na simu...
Back
Top Bottom