Recent content by Siri za Chumbani

  1. Siri za Chumbani

    JamiiForums Tanzania Siri za Chumbani

    Asante kwa swali zuri. Faragha ndiyo msingi wa Siri za Chumbani, ndiyo maana mfumo wetu umejengwa kwa kuzingatia privacy by design, yaani ulinzi wa faragha umeanzia kwenye muundo wa mfumo wenyewe. Kwa sasa tunalinda faragha za watoa siri kwa njia kadhaa: • Mtumiaji hahitajiki kufungua akaunti...
  2. Siri za Chumbani

    JamiiForums Tanzania Siri za Chumbani

    Habari kingsmann, Asante kwa maoni yako. Ni kweli kwamba JamiiForums inaruhusu watumiaji kutumia utambulisho usio wa majina halisi, na hilo ni moja ya sababu zilizotuvutia kujiunga na jamii hii. Tofauti kuu ni kwamba Siri za Chumbani haijajengwa kama forum ya mijadala ya jumla, bali imejengwa...
  3. Siri za Chumbani

    JamiiForums Tanzania Siri za Chumbani

    Wana JF, salamu! Tunafurahi kujiunga rasmi na familia ya JamiiForums. Sisi ni Siri za Chumbani, jukwaa la anonymous confessions linalowapa watu nafasi ya kushiriki siri, changamoto, maumivu na mambo mazito yanayowasumbua moyoni bila kufichua utambulisho wao. Kila siku tunapokea simulizi...
Back
Top Bottom