Recent content by Sir Kite 2

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hali ni mbaya, sitisheni Kampeni mkajipange Upya

    Kama CCM wanajitekenya na kucheka wenyewe nyie hapa mtakuwa mnafanyia nini? kwani kampeni za CCM zinawahusu nini nyie kweli?
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hadi sasa kimkakati CHADEMA wameizidi CCM

    Hawa jamaa wanafurahisha sana, kwani hawawezi kupiga kampeni kwa kunadi sera zao bila kuihusisha CCM?
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

    Shida nini kama wenye malori wamejitolea? nyie unadhani wasanii na wenye malori hawapigi kura?
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

    Unaifahamu CCM Kirumba kweli wewe?
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

    Wasanii mwaka huu hawalipwi chochote, wamejitolea, kumbuka CCM ilitangaza mapema sana uchaguzi huu haitotumia wasanii ili kupunguza gharama, wasanii wamejitolea wenyewe kwa mapenzi yao makubwa kwa chama na JPM.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

    Wapum.bavu mtaisoma namba mwaka huu, hakuna rangi hamtaiona, alitumwa kurekebisha pesa na mengineyo ya kampeni, jiiteni Chama Cha Wananchi tu kama Yanga ilivyohiita Timu ya Wananchi wakati ilipikuwa inategemea kutembeza bakuli kwa wananchi kujiendesha. Mlipitishia kwa wale watetezi wenu wa haki...
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutokuwasiliana kwa viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo na CHADEMA kumewapa mwanya CCM kufanya watakavyo

    Media wenyewe wamewakataa, mtaitisha nani atakuja? endeleeni kujifurahisha na hao mamia wanaokuja kushangaa muujiza wenu unaotembea mkijidanganya ni kura.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ben Saanane kuna biashara gani unafanya na ubalozi wa Sahara Magharibi na Kundi la TASSC?

    Hahaha...nani kamuua? sio kwamba yuko msituni anapigania uhuru wa Sahara Magharibi?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ben Saanane kuna biashara gani unafanya na ubalozi wa Sahara Magharibi na Kundi la TASSC?

    Hata maandiko matakatifu yanawaasa kutii mamlaka zilizowekwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, kinyume na hapo utafixwa tu na kuacha wapendwa wakihuzunika na wapambe wakijifariji na kuota ndoto za mchana.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ben Saanane kuna biashara gani unafanya na ubalozi wa Sahara Magharibi na Kundi la TASSC?

    Jibu si alilipata Ben au bado mnangojea jibu gani?
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli Mbiu ya CHADEMA: Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu

    Duh.. kweli huyu jamaa katumwa.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Polisi: Idris Sultan anashikiliwa kwa kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya kimtandao

    Watanyooka tu mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom